The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 27 › Ayubu 27:4

Ayubu 27:4

midomo yangu haitanena uovu, 2 wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My lips shall not speak wickedness, nor my tongue utter deceit.

In Context

3kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, 2 nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, 1

5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; 2 hadi nife, sitakana uadilifu wangu. 1

Read all of Ayubu 27

Cross References

Job 6:28“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. 2 Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu? 1

Job 24:25“Kama hili sivyo, ni nani awezaye kunithibitisha kuwa mwongo, 2 na kuyafanya maneno yangu kuwa si kitu?”

John 8:55Ingawa hamkumjua, mimi ninamjua. Kama ningesema simjui, ningekuwa mwongo kama ninyi, lakini mimi ninamjua na ninalitii neno lake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 27:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 27:3Ayubu 27Ayubu 27:5 →