Ayubu 16:12
Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja; 2 amenikamata shingo na kuniponda. 2 Amenifanya mimi kuwa shabaha yake; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Mungu amenigeuzia kwa watu wabaya, 2 na kunitupa katika makucha ya waovu. 1
Cross References
Job 1:2Alikuwa na wana saba na binti watatu,
Job 4:10Simba anaweza kunguruma na kukoroma, 2 lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. 1
Job 7:12Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, 2 hata uniweke chini ya ulinzi? 1
Job 9:17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba 2 na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu. 1
Job 23:16Mungu ameufanya moyo wangu kuzimia; 2 yeye Mwenyezi amenitia hofu. 1
Job 29:18“Nikafikiri, ‘Nitafia katika nyumba yangu mwenyewe, 2 nazo siku zangu zitakuwa nyingi kama chembechembe za mchanga. 1