Ayubu 16:3
Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? 2 Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Shall vain words have an end? or what emboldeneth thee that thou answerest?
In Context
2“Nimepata kusikia mambo mengi kama haya, 2 nanyi nyote ni wafariji wenye kutaabisha! 1
Cross References
Job 6:26Je, mna maana ya kuyasahihisha ninayosema, 2 na kuyafanya maneno ya mtu anayekata tamaa kama upepo? 1
Job 15:2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, 2 au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 1
Job 27:12Ninyi nyote mmeona hili wenyewe. 2 Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana? 1
Matthew 22:46Hakuna mtu aliyeweza kumjibu Yesu neno. Tena tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kumuuliza tena maswali.
Titus 2:8na usemi sahihi usio na lawama, ili wanaokupinga watahayari, wakose neno lolote baya la kusema juu yetu.