Wafilipi 1:16
Hawa wa mwisho wanamhubiri Kristo kwa moyo wa upendo, wakifahamu kwamba nimo humu gerezani kwa ajili ya kuitetea Injili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The one preach Christ of contention, not sincerely, supposing to add affliction to my bonds:
In Context
Cross References
Job 6:14“Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, 2 hata kama akiacha uchaji wa Mwenyezi. 1
Psalms 69:26Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, 2 na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza. 1
2 Corinthians 4:1Kwa hiyo, kwa kuwa tuna huduma hii kwa rehema za Mungu, hatukati tamaa.
Philippians 1:10ili mpate kutambua yale yaliyo mema, mkawe safi, wasio na hatia hadi siku ya Kristo,