Job 16:21
kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu 2 kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Oh that one might plead for a man with God, as a man pleadeth for his neighbour!
In Context
20Mwombezi wangu ni rafiki yangu 2 macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu; 1
22“Ni miaka michache tu itapita 2 kabla sijaenda safari ambayo sitarudi.
Cross References
Job 9:34mtu angeliiondoa fimbo ya Mungu juu yangu, 2 ili utisho wake usiendelee kunitia hofu. 1
Job 13:22Niite kwenye shauri nami nitajibu, 2 au niache niseme, nawe upate kujibu. 1
Job 31:35(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia! 2 Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu: 2 Mwenyezi na anijibu; 1 mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi. 1
Ecclesiastes 6:10Lolote lililopo limekwisha kupewa jina, 2 naye mwanadamu alivyo ameshajulikana; 1 hakuna mtu awezaye kushindana 2 na mwenye nguvu kuliko yeye. 1
Romans 9:20Lakini, ewe mwanadamu, u nani wewe ushindane na Mungu? “Je, kilichoumbwa chaweza kumwambia yeye aliyekiumba, ‘Kwa nini umeniumba hivi?’ ”