Ayubu 27:12
Ninyi nyote mmeona hili wenyewe. 2 Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, all ye yourselves have seen it; why then are ye thus altogether vain?
In Context
11“Nitawafundisha juu ya uweza wa Mungu; 2 njia za Mwenyezi sitazificha. 1
Cross References
Job 6:25Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! 2 Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini? 1
Job 16:3Je, maneno yenu mengi yasiyo na maana hayana mwisho? 2 Mna nini hata mwendelee kushindana kwa maneno? 1
Job 19:2“Je, mtaendelea kunitesa mpaka lini, 2 na kuniponda kwa maneno yenu? 1
Job 21:28Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu, 2 mahema ambayo watu waovu walikaa?’ 1
Ecclesiastes 8:14Kuna kitu kingine ambacho ni ubatili kinachotokea duniani: Watu waadilifu kupata yale yanayowastahili waovu, nao waovu kupata yale yanayowastahili waadilifu. Hili nalo pia, nasema ni ubatili.