The Bible Software
bible.softwareJobJob 17 › Job 17:2

Job 17:2

Hakika wenye mizaha wamenizunguka; 2 macho yangu yamebaki kutazama uadui wao. 1 Ayubu Anaomba Msaada 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Are there not mockers with me? and doth not mine eye continue in their provocation?

In Context

1Moyo wangu umevunjika, 2 siku zangu zimefupishwa, 2 kaburi linaningojea. 1

3“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. 2 Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu? 1

Read all of Job 17

Cross References

1 Samuel 1:6Kwa sababu Bwana alikuwa amemfunga tumbo, mke mwenzake alikuwa anamchokoza ili kumuudhi.

Job 13:9Je, ingekuwa vyema Mungu akiwahoji ninyi? 2 Je, mngeweza kumdanganya kama ambavyo mngeweza kuwadanganya wanadamu? 1

Job 21:3Nivumilieni ninapozungumza, 2 nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. 1

Psalms 25:13Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake, 2 nao wazao wake watairithi nchi. 1

Psalms 91:1Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, 2 atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. + 91:1 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 17:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 17:1Job 17Job 17:3 →