The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 17 › Ayubu 17:10

Ayubu 17:10

“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena! 2 Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But as for you all, do ye return, and come now: for I cannot find one wise man among you.

In Context

9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, 2 nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu. 1

11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, 2 vivyo hivyo shauku za moyo wangu. 1

Read all of Ayubu 17

Cross References

Job 6:29Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; 2 angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu. + 6:29 Au: haki yangu bado inasimama. 1

Job 15:9Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi? 2 Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? 1

Job 18:3Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, 2 na kuonekana wajinga machoni pako? 1

Job 42:7Baada ya Bwana kusema mambo haya yote na Ayubu, akamwambia Elifazi Mtemani, “Nina hasira juu yako na juu ya rafiki zako wawili, kwa sababu hamkusema yaliyo sawa kwa habari yangu, kama alivyosema mtumishi wangu Ayubu.

1 Corinthians 1:20Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi msomi? Yuko wapi mwanafalsafa wa nyakati hizi? Je, Mungu hakufanya hekima ya ulimwengu huu kuwa upumbavu?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 17:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 17:9Ayubu 17Ayubu 17:11 →