Ayubu 18:3
Kwa nini sisi tunafikiriwa kama wanyama, 2 na kuonekana wajinga machoni pako? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore are we counted as beasts, and reputed vile in your sight?
In Context
2“Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? 2 Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. 1
Cross References
Job 12:7“Lakini ulizeni wanyama, nao watawafundisha, 2 au ndege wa angani, nao watawaambia; 1
Job 17:10“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena! 2 Sitampata mtu mwenye hekima miongoni mwenu. 1
Ecclesiastes 3:18Pia nikafikiri, “Kuhusu wanadamu, Mungu huwajaribu ili wajione kwamba wao ni kama wanyama.