Job 17:13
Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi, + 17:13 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 kama nikikitandika kitanda changu gizani, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If I wait, the grave is mine house: I have made my bed in the darkness.
In Context
12Watu hawa hufanya usiku kuwa mchana, 2 kwenye giza wao husema, ‘Mwanga u karibu.’ 1
Cross References
Job 6:11“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? 2 Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? 1
Job 10:22nchi ya giza kuu sana, 2 yenye uvuli wa giza na machafuko, 2 mahali ambapo hata nuru ni giza.”
Job 17:1Moyo wangu umevunjika, 2 siku zangu zimefupishwa, 2 kaburi linaningojea. 1
Psalms 27:14Mngojee Bwana, 2 uwe hodari na mwenye moyo mkuu, 2 nawe, umngojee Bwana.
Ecclesiastes 12:5wakati watu watakapoogopa kilichoinuka juu 2 na hatari zitakazokuwepo barabarani; 1 wakati mlozi utakapochanua maua 2 na panzi kujikokota 2 nawe usiwe na shauku ya kitu chochote. 1 Ndipo mwanadamu aiendea nyumba yake ya milele 2 nao waombolezaji wakizunguka barabarani. 1
Lamentations 3:25Bwana ni mwema kwa wale ambao tumaini lao ni kwake, 2 kwa yule ambaye humtafuta; 1