Job 18:13
Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake; 2 mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It shall devour the strength of his skin: even the firstborn of death shall devour his strength.
In Context
12Janga linamwonea shauku; 2 maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo. 1
14Atangʼolewa kutoka usalama wa hema lake, 2 na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho. 1
Cross References
Job 17:16Je, litashuka chini hadi kwenye malango ya mauti? + 17:16 Malango ya mauti hapa ina maana ya Kuzimu. 2 Je, tutashuka pamoja mavumbini?”
Jonah 2:6Nilizama chini sana mpaka pande za mwisho za milima, 2 makomeo ya hiyo nchi yalinifungia hata milele. 1 Lakini uliuleta uhai wangu kutoka shimoni, 2 Ee Bwana Mungu wangu. 1
Revelation 6:8Nikatazama, na hapo mbele yangu alikuwepo farasi mwenye rangi ya kijivujivu! Yeye aliyempanda aliitwa Mauti, naye Kuzimu + 6:8 Kuzimu linalotokana na neno Hades la Kiyunani au Sheol kwa Kiebrania. alikuwa akimfuata nyuma yake kwa karibu. Wakapewa mamlaka juu ya robo ya dunia, kuua kwa upanga, njaa, tauni na kwa wanyama wakali wa dunia.