The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 18 › Ayubu 18:14

Ayubu 18:14

Atangʼolewa kutoka usalama wa hema lake, 2 na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

His confidence shall be rooted out of his tabernacle, and it shall bring him to the king of terrors.

In Context

13Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake; 2 mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake. 1

15Moto utakaa katika hema lake; 2 moto wa kiberiti utamwagwa juu ya makao yake. 1

Read all of Ayubu 18

Cross References

Job 8:22Adui zako watavikwa aibu, 2 nazo hema za waovu hazitakuwepo tena.”

Job 24:17Kwa wote hawa, giza nene ndiyo asubuhi yao; 2 hujifanya rafiki na vitisho vya gizani. 1

Psalms 55:4Moyo wangu umejaa uchungu, 2 hofu ya kifo imenishambulia. 1

Proverbs 10:28Tarajio la mwenye haki ni furaha, 2 bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. 1

Matthew 7:26Naye kila anayesikia haya maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.

Hebrews 2:15na kuwaweka huru wale waliokuwa utumwani maisha yao yote kwa sababu ya kuogopa mauti.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 18:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 18:13Ayubu 18Ayubu 18:15 →