Proverbs 10:7
Kumbukumbu ya mwenye haki itakuwa baraka, 2 lakini jina la mwovu litaoza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The memory of the just is blessed: but the name of the wicked shall rot.
In Context
6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
8Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo, 2 lakini mpumbavu apayukaye huangamia. 1
Cross References
2 Kings 19:34Nitaulinda mji huu na kuuokoa, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 na kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu.”
Job 18:17Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia, 2 wala hatakuwa na jina katika nchi. 1
Psalms 9:5Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; 2 umeyafuta majina yao milele na milele. 1
Psalms 41:5Adui zangu wanasema kwa hila, 2 “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.” 1
Psalms 109:15Dhambi zao na zibaki daima mbele za Bwana, 2 ili apate kukatilia mbali kumbukumbu lao duniani. 1
Ecclesiastes 8:10Ndipo pia, nikaona waovu wakizikwa, wale ambao walizoea kuingia na kutoka mahali patakatifu na kupewa sifa katika mji ambapo walikuwa wamefanya haya. Hili nalo ni ubatili.