Ayubu 19:6
basi jueni kuwa Mungu amenitendea yaliyo mabaya, 2 naye amekokota wavu wake kunizunguka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Know now that God hath overthrown me, and hath compassed me with his net.
In Context
5Kama kweli mngejitukuza wenyewe juu yangu, 2 na kutumia unyonge wangu dhidi yangu, 1
7“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; 2 ingawa ninaomba msaada, hakuna haki. 1
Cross References
Job 7:20Ikiwa nimetenda dhambi, nimekufanyia nini, 2 Ewe mlinzi wa wanadamu? 1 Kwa nini umeniweka niwe shabaha yako? 2 Je, nimekuwa mzigo kwako? 1
Job 16:11Mungu amenigeuzia kwa watu wabaya, 2 na kunitupa katika makucha ya waovu. 1
Job 27:2“Hakika kama Mungu aishivyo, aliyeninyima haki yangu, 2 Mwenyezi ambaye amenifanya 2 nionje uchungu wa nafsi, 1
Psalms 66:10Ee Mungu, wewe ulitujaribu, 2 ukatusafisha kama fedha. 1
Lamentations 1:13“Kutoka juu alipeleka moto, 2 akaushusha katika mifupa yangu. 1 Aliitandia wavu miguu yangu 2 na akanirudisha nyuma. 1 Akanifanya mkiwa, 2 na mdhaifu mchana kutwa. 1
Ezekiel 32:3“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Nikiwa pamoja na wingi mkubwa wa watu 2 nitautupa wavu wangu juu yako, 2 nao watakukokota katika wavu wangu. 1