Ayubu 20:27
Mbingu zitaweka wazi hatia yake, 2 nayo nchi itainuka kinyume chake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The heaven shall reveal his iniquity; and the earth shall rise up against him.
In Context
28Mafuriko yataichukua nyumba yake, 2 maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu. 1
Cross References
Job 16:18“Ee nchi, usiifunike damu yangu, 2 nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe. 1
Psalms 44:20Kama tungalikuwa tumelisahau jina la Mungu wetu 2 au kunyooshea mikono yetu kwa mungu mgeni, 1
Jeremiah 29:23Kwa kuwa wamefanya mambo maovu kabisa katika Israeli, wamezini na wake za majirani zao, tena kwa Jina langu wamesema uongo, mambo ambayo sikuwaambia kuyafanya. Nami nayajua haya, na ni shahidi wa jambo hilo,” asema Bwana. 1 Ujumbe Kwa Shemaya
Luke 12:2Hakuna jambo lolote lililositirika ambalo halitafunuliwa, au lililofichwa ambalo halitajulikana.
1 Corinthians 4:5Kwa hiyo msihukumu jambo lolote kabla ya wakati wake. Ngojeni mpaka Bwana atakapokuja. Yeye atayaleta nuruni mambo yale yaliyofichwa gizani, na kuweka wazi nia za mioyo ya wanadamu. Wakati huo kila mmoja atapokea sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.