Job 21:15
Mwenyezi ni nani hata tumtumikie? 2 Tutapata faida gani kumwomba? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What is the Almighty, that we should serve him? and what profit should we have, if we pray unto him?
In Context
14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ 2 Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 1
16Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, 2 hivyo najitenga mbali na shauri la waovu. 1
Cross References
Exodus 5:2Farao akasema, “Huyo Bwana ni nani, hata nimtii na kuruhusu Israeli uende? Simjui huyo Bwana wala sitawaruhusu Israeli waende.”
Job 34:9Kwa kuwa anasema, ‘Haimfaidi mwanadamu kitu chochote 2 anapojitahidi kumpendeza Mungu.’ 1
Psalms 12:4ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda; 2 midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?” 1
Proverbs 30:9Nisije nikawa na vingi vya kuzidi nikakukana 2 na kusema, ‘ Bwana ni nani?’ 1 Au nisije nikawa maskini nikaiba, 2 nami nikaliaibisha jina la Mungu wangu. 1
Isaiah 45:19Sijasema sirini, 2 kutoka mahali fulani katika nchi ya giza; 1 sijawaambia wazao wa Yakobo, 2 ‘Nitafuteni bure.’ 1 Mimi, Bwana, nasema kweli; 2 ninatangaza lililo sahihi. 1
Malachi 1:13Nanyi mnasema, ‘Mzigo gani huu!’ Nanyi mnaidharau kwa kiburi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. “Wakati mnapowaleta wanyama mliopokonya kwa nguvu, walio vilema au walio wagonjwa na kuwatoa kama dhabihu, je, niwakubali kutoka mikononi mwenu?” asema Bwana.