Ayubu 34:9
Kwa kuwa anasema, ‘Haimfaidi mwanadamu kitu chochote 2 anapojitahidi kumpendeza Mungu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he hath said, It profiteth a man nothing that he should delight himself with God.
In Context
8Ashirikianaye na watenda mabaya 2 na kuchangamana na watu waovu. 1
Cross References
Job 9:22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema, 2 ‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’ 1
Job 21:14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ 2 Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 1
Job 21:30kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa, 2 kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu? 1
Job 22:17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! 2 Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 1
Job 35:3Bado unamuuliza, ‘Ni faida gani nimepata, 2 na imenifaidi nini kwa kutokutenda dhambi?’ 1
Isaiah 58:3Wao husema, ‘Mbona tumefunga, nawe hujaona? 2 Mbona tumejinyenyekeza, nawe huangalii?’ 1 “Lakini katika siku ya kufunga kwenu, mnafanya mnavyotaka 2 na kuwadhulumu wafanyakazi wenu wote. 1