The Bible Software
bible.softwareJobJob 21 › Job 21:16

Job 21:16

Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, 2 hivyo najitenga mbali na shauri la waovu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lo, their good is not in their hand: the counsel of the wicked is far from me.

In Context

15Mwenyezi ni nani hata tumtumikie? 2 Tutapata faida gani kumwomba? 1

17“Lakini ni mara ngapi taa ya waovu huzimwa? 2 Ni mara ngapi maafa huwajia, 1 yale yawapatayo ambayo Mungu 2 huwapangia katika hasira yake? 1

Read all of Job 21

Cross References

Genesis 49:6Mimi na nisiingie katika baraza lao, 2 nami nisiunganike katika kusanyiko lao, 1 kwa kuwa wamewaua watu katika hasira yao, 2 walikata mishipa ya miguu ya mafahali 2 kama walivyopenda. 1

Job 12:9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua 2 kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili? 1

Psalms 1:1Heri mtu yule ambaye 2 haendi katika shauri la watu waovu, 1 wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, 2 au kuketi katika baraza la wenye mizaha. 1

Psalms 52:5Hakika Mungu atakushusha chini 2 kwa maangamizi ya milele: 1 atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu 2 kutoka hema yako, 2 atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 1

Proverbs 5:8Njia zenu ziwe mbali naye, 2 msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 1

Luke 16:2Hivyo huyo tajiri akamwita na kumuuliza, ‘Ni mambo gani haya ninayoyasikia kukuhusu? Toa taarifa ya usimamizi wako, kwa sababu huwezi kuendelea kuwa msimamizi.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 21:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 21:15Job 21Job 21:17 →