The Bible Software
bible.softwareJobJob 21 › Job 21:17

Job 21:17

“Lakini ni mara ngapi taa ya waovu huzimwa? 2 Ni mara ngapi maafa huwajia, 1 yale yawapatayo ambayo Mungu 2 huwapangia katika hasira yake? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How oft is the candle of the wicked put out! and how oft cometh their destruction upon them! God distributeth sorrows in his anger.

In Context

16Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, 2 hivyo najitenga mbali na shauri la waovu. 1

18Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, 2 kama makapi yachukuliwayo na dhoruba? 1

Read all of Job 21

Cross References

Job 18:5“Taa ya mwovu imezimwa, 2 nao mwali wa moto wake umezimika. 1

Psalms 32:10Mtu mwovu ana taabu nyingi, 2 bali upendo usio na kikomo wa Bwana 2 unamzunguka mtu anayemtumaini. 1

Proverbs 13:9Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana, 2 bali taa ya mwovu itazimwa. 1

Proverbs 24:20kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo, 2 nayo taa ya waovu itazimwa. 1

Luke 12:46Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua. Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wale wasioamini.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 21:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 21:16Job 21Job 21:18 →