The Bible Software
bible.softwareJobJob 21 › Job 21:2

Job 21:2

“Yasikilizeni maneno yangu kwa makini; 2 hii na iwe faraja mnayonipa mimi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hear diligently my speech, and let this be your consolations.

In Context

1Ndipo Ayubu akajibu: 1

3Nivumilieni ninapozungumza, 2 nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. 1

Read all of Job 21

Cross References

Judges 9:7Yothamu alipoambiwa hayo, akapanda juu ya kilele cha mlima Gerizimu, akawapazia sauti yake akawaambia, “Nisikilizeni enyi watu wa Shekemu, ili Mungu naye apate kuwasikiliza ninyi.

Job 13:6Sikieni sasa hoja yangu; 2 sikilizeni kusihi kwangu. 1

Job 15:11Je, faraja za Mungu hazikutoshi, 2 au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu? 1

Job 18:2“Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? 2 Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. 1

Job 33:31“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; 2 nyamaza, nami nitanena. 1

Isaiah 55:2Kwa nini kutumia fedha kwa kitu ambacho si chakula, 2 na kutaabikia kitu kisichoshibisha? 1 Sikilizeni, nisikilizeni mimi na mle kilicho kizuri, 2 nazo nafsi zenu zitafurahia utajiri wa unono. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 21:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 21:1Job 21Job 21:3 →