Ayubu 22:17
Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! 2 Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Which said unto God, Depart from us: and what can the Almighty do for them?
In Context
16Waliondolewa kabla ya wakati wao, 2 misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. 1
18Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri, 2 hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu. 1
Cross References
Job 21:10Madume yao ya ngʼombe huvyaza bila kushindwa kamwe; 2 ngʼombe wao huzaa wala hawaharibu mimba. 1
Psalms 4:6Wengi wanauliza, “Ni nani awezaye 2 kutuonyesha jema lolote?” 2 Ee Bwana, tuangazie nuru ya uso wako. 1
Malachi 3:14“Mmesema, ‘Ni bure kumtumikia Mungu. Tumepata faida gani kwa kushika maagizo yake na kwenda kama waombolezaji mbele za Bwana Mwenye Nguvu Zote?
Matthew 8:34Kisha watu wote wa mji huo wakatoka kwenda kukutana na Yesu. Nao walipomwona wakamsihi aondoke kwenye nchi yao.