Ayubu 22:18
Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri, 2 hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet he filled their houses with good things: but the counsel of the wicked is far from me.
In Context
17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! 2 Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 1
19“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, 2 nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema, 1
Cross References
1 Samuel 2:7Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, 2 hushusha na hukweza. 1
Job 21:16Lakini kufanikiwa kwao hakupo mikononi mwao wenyewe, 2 hivyo najitenga mbali na shauri la waovu. 1
Psalms 17:14Ee Bwana, mkono wako uniokoe na watu wa jinsi hii, 2 kutokana na watu wa ulimwengu huu 2 ambao fungu lao liko katika maisha haya. 1 Na wapate adhabu ya kuwatosha. 2 Watoto wao na wapate zaidi ya hayo, 2 hukumu na iendelee kwa watoto wa watoto wao. 1
Acts 14:17Lakini hakuacha kuwaonyesha watu uwepo wake: Ameonyesha wema kwa kuwanyeshea mvua toka mbinguni na kuwapa mazao kwa majira yake, naye amewapa chakula tele na kuijaza mioyo yenu na furaha.”