The Bible Software
bible.softwareMalachiMalachi 3 › Malachi 3:14

Malachi 3:14

“Mmesema, ‘Ni bure kumtumikia Mungu. Tumepata faida gani kwa kushika maagizo yake na kwenda kama waombolezaji mbele za Bwana Mwenye Nguvu Zote?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ye have said, It is vain to serve God: and what profit is it that we have kept his ordinance, and that we have walked mournfully before the LORD of hosts?

In Context

13“Mmesema vitu vigumu dhidi yangu,” asema Bwana. “Hata hivyo mnauliza, ‘Tumesema nini dhidi yako?’

15Lakini sasa wenye kiburi wanabarikiwa. Hakika watenda mabaya wanastawi, pia hata wale wanaoshindana na Mungu ndio wanaosalimika.’ ”

Read all of Malachi 3

Cross References

Job 21:15Mwenyezi ni nani hata tumtumikie? 2 Tutapata faida gani kumwomba? 1

Job 34:9Kwa kuwa anasema, ‘Haimfaidi mwanadamu kitu chochote 2 anapojitahidi kumpendeza Mungu.’ 1

Psalms 73:8Hudhihaki na kusema kwa ukorofi, 2 katika majivuno yao wanatishia kutesa. 1

Isaiah 58:3Wao husema, ‘Mbona tumefunga, nawe hujaona? 2 Mbona tumejinyenyekeza, nawe huangalii?’ 1 “Lakini katika siku ya kufunga kwenu, mnafanya mnavyotaka 2 na kuwadhulumu wafanyakazi wenu wote. 1

Joel 2:12“Hata sasa,” asema Bwana, 2 “nirudieni kwa mioyo yenu yote, 2 kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza.” 1

Zechariah 7:3kwa kuwauliza makuhani wa nyumba ya Bwana Mwenye Nguvu Zote na manabii, “Je, imempasa kuomboleza na kufunga katika mwezi wa tano, kama ambavyo nimekuwa nikifanya kwa miaka mingi?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Malachi 3:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Malachi 3:13Malachi 3Malachi 3:15 →