Isaya 31:6
Mrudieni yeye ambaye nyumba ya Israeli imemwasi sana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Turn ye unto him from whom the children of Israel have deeply revolted.
In Context
Cross References
2 Chronicles 36:14Zaidi ya hayo viongozi wote wa makuhani pamoja na watu wakazidi kukosa uaminifu zaidi na zaidi, wakafanya machukizo yote kama walivyofanya mataifa wakinajisi Hekalu la Bwana alilokuwa amelitakasa huko Yerusalemu. 1 Kuanguka Kwa Yerusalemu (2 Wafalme 25:1-21; Yeremia 52:3-11)
Isaiah 29:15Ole kwa wale wanaokwenda kwenye vilindi virefu 2 kumficha Bwana mipango yao, 1 wafanyao kazi zao gizani na kufikiri, 2 “Ni nani anayetuona? Ni nani atakayejua?” 1
Isaiah 55:7Mtu mwovu na aiache njia yake, 2 na mtu mbaya na ayaache mawazo yake. 1 Yeye na amrudie Bwana, naye atamrehemu, 2 arudi kwa Mungu wetu, kwa kuwa atamsamehe bure kabisa. 1
Jeremiah 3:12Nenda, ukatangaze ujumbe huu kuelekea kaskazini: 1 “ ‘Rudi, Israeli usiye mwaminifu,’ asema Bwana, 2 ‘sitakutazama tena kwa uso uliokunjamana, 1 kwa kuwa mimi ni mwenye huruma,’ asema Bwana, 2 ‘Sitashika hasira yangu milele. 1
Jeremiah 3:22“Rudini, enyi watu msio waaminifu, 2 nami nitawaponya ukengeufu wenu.” 1 “Naam, tutakuja kwako, 2 kwa maana wewe ni Bwana Mungu wetu. 1
Jeremiah 31:18“Hakika nimeyasikia maombolezo ya Efraimu: 2 ‘Ulinirudi kama ndama mkaidi, 2 nami nimekubali kutii. 1 Unirudishe, nami nitarudi, 2 kwa sababu wewe ndiwe Bwana, Mungu wangu. 1