Ayubu 22:7
Hukumpa maji aliyechoka, 2 nawe ulimnyima chakula mwenye njaa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast not given water to the weary to drink, and thou hast withholden bread from the hungry.
In Context
6Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; 2 umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 1
8ingawa ulikuwa mtu mwenye uwezo ukimiliki nchi: 2 mtu uliyeheshimiwa, ukiishi ndani yake. 1
Cross References
Job 31:17kama nimekula chakula changu mwenyewe, 2 bila kuwashirikisha yatima; 1
Psalms 112:9Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; 2 haki yake hudumu milele; 2 pembe yake itatukuzwa kwa heshima. 1
Proverbs 19:17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, 2 naye atamtuza kwa aliyotenda. 1
Isaiah 58:10nanyi kama mkimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi zenu 2 na kutosheleza mahitaji ya walioonewa, 1 ndipo nuru yenu itakapongʼaa gizani, 2 nao usiku wenu utakuwa kama adhuhuri. 1
Ezekiel 18:16Hakumwonea mtu yeyote 2 wala hakutaka rehani kwa ajili ya mkopo. 1 Hanyangʼanyi, 2 bali huwapa wenye njaa chakula chake 2 na huwapa nguo walio uchi. 1
Romans 12:20Badala yake: 1 “Kama adui yako ana njaa, mlishe; 2 kama ana kiu, mpe kinywaji. 1 Kwa kufanya hivyo, 2 unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake.”