Ayubu 23:5
Ningejua kwamba angenijibu nini, 2 na kuelewa lile ambalo angelisema. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I would know the words which he would answer me, and understand what he would say unto me.
In Context
4Ningeliweka shauri langu mbele zake, 2 na kukijaza kinywa changu na hoja. 1
6Je, angenipinga kwa nguvu nyingi? 2 La, asingenigandamiza. 1
Cross References
Job 10:2Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, 2 bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 1
Job 42:2“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, 2 wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika. 1