The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 42 › Ayubu 42:2

Ayubu 42:2

“Ninajua ya kuwa unaweza kufanya mambo yote, 2 wala hakuna mpango wako unaoweza kuzuilika. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I know that thou canst do every thing, and that no thought can be withholden from thee.

In Context

1Ndipo Ayubu akamjibu Bwana: 1

3Uliuliza, ‘Ni nani huyu afichaye mashauri yangu bila maarifa?’ 2 Hakika nilisema juu ya mambo niliyokuwa siyaelewi, 2 mambo ya ajabu mno kwangu mimi kuyajua. 1

Read all of Ayubu 42

Cross References

Genesis 18:14Je, kuna jambo lolote gumu lisilowezekana kwa Bwana? Nitakurudia mwakani majira kama haya, naye Sara atakuwa na mwana.”

Psalms 44:21je, Mungu hangaligundua hili, 2 kwa kuwa anazijua siri za moyo? 1

Psalms 139:2Unajua ninapoketi na ninapoinuka; 2 unatambua mawazo yangu tokea mbali. 1

Ecclesiastes 3:14Ninajua kwamba kila kitu anachokifanya Mungu kitadumu milele, hakuna kinachoweza kuongezwa au kupunguzwa. Mungu hufanya hivyo ili watu wamche yeye. 1

Isaiah 43:13Naam, tangu siku za kale, Mimi ndiye. 1 Hakuna hata mmoja awezaye kuokoa 2 kutoka mkononi wangu. 1 Mimi ninapotenda, 2 ni nani awezaye kutangua?” 1 Huruma Za Mungu, Na Kukosa Uaminifu Kwa Israeli 1

Jeremiah 17:10“Mimi Bwana huchunguza moyo 2 na kuzijaribu nia, 1 ili kumlipa mtu kwa kadiri ya mwenendo wake, 2 kwa kadiri ya matendo yake yanavyostahili.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 42:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 42:1Ayubu 42Ayubu 42:3 →