The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 23 › Ayubu 23:6

Ayubu 23:6

Je, angenipinga kwa nguvu nyingi? 2 La, asingenigandamiza. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Will he plead against me with his great power? No; but he would put strength in me.

In Context

5Ningejua kwamba angenijibu nini, 2 na kuelewa lile ambalo angelisema. 1

7Hapo mtu mwadilifu angeweka shauri lake mbele zake, 2 nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu. 1

Read all of Ayubu 23

Cross References

Job 9:4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1

Job 9:33Laiti angelikuwepo mtu wa kutupatanisha kati yetu, 2 aweke mkono wake juu yetu sote wawili, 1

Psalms 138:3Nilipoita, ulinijibu; 2 ulinifanya jasiri na mwenye moyo hodari. 1

Isaiah 27:8Kwa vita na kwa kumfukuza unapingana naye: 2 kwa mshindo wake mkali anamfukuza, 2 kama siku ile uvumapo upepo wa mashariki. 1

Ezekiel 20:35Nitawaleta katika jangwa la mataifa na huko nitatekeleza hukumu juu yenu uso kwa uso.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 23:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 23:5Ayubu 23Ayubu 23:7 →