Ayubu 23:7
Hapo mtu mwadilifu angeweka shauri lake mbele zake, 2 nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There the righteous might dispute with him; so should I be delivered for ever from my judge.
In Context
6Je, angenipinga kwa nguvu nyingi? 2 La, asingenigandamiza. 1
8“Lakini nikienda mashariki, hayupo; 2 nikienda magharibi, simpati. 1
Cross References
Job 9:15Ingawa sikuwa na hatia, sikuweza kumjibu; 2 ningeweza tu kumsihi Mhukumu wangu anihurumie. 1
Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1
Jeremiah 12:1Wewe daima u mwenye haki, Ee Bwana, 2 niletapo mashtaka mbele yako. 1 Hata hivyo nitazungumza nawe kuhusu hukumu yako: 2 Kwa nini njia ya waovu inafanikiwa? 1 Kwa nini wasio waaminifu 2 wote wanaishi kwa raha? 1
Romans 8:1Kwa hiyo, sasa hakuna hukumu ya adhabu kwa wale walio ndani ya Kristo Yesu, wale ambao hawaenendi kwa kuufuata mwili bali kwa kufuata Roho.