Ayubu 24:19
Kama vile joto na hari vinyakuavyo theluji iliyoyeyuka, 2 ndivyo kuzimu kuwanyakuavyo waliotenda dhambi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Drought and heat consume the snow waters: so doth the grave those which have sinned.
In Context
Cross References
Job 6:15Lakini ndugu zangu sio wa kutegemewa, 2 ni kama vijito vya msimu, 2 ni kama vijito ambavyo hufurika 1
Job 21:23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, 2 akiwa salama na mwenye raha kamili, 1
Psalms 49:14Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini, + 49:14 Kaburini hapa ina maana ya Sheol kwa Kiebrania, yaani Kuzimu. 2 nacho kifo kitawala. 1 Wanyofu watawatawala asubuhi, 2 maumbile yao yataozea kaburini, 2 mbali na majumba yao makubwa ya fahari. 1
Psalms 68:2Kama vile moshi upeperushwavyo na upepo, 2 vivyo hivyo uwapeperushe mbali, 1 kama vile nta iyeyukavyo kwenye moto, 2 vivyo hivyo waovu na waangamie mbele za Mungu. 1
Ecclesiastes 9:4Yeyote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa! 1
Luke 16:22“Wakati ukafika yule maskini akafa, nao malaika wakamchukua akae pamoja na Abrahamu. Yule tajiri naye akafa na akazikwa.