Ayubu 25:3
Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? 2 Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Is there any number of his armies? and upon whom doth not his light arise?
In Context
2“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; 2 yeye huthibitisha amani katika mbingu juu. 1
4Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 2 Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi? 1
Cross References
Genesis 1:3Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo.
Job 38:12“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, 2 au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake, 1
Psalms 103:20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, 2 ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, 2 ninyi mnaotii neno lake. 1
Isaiah 40:26Inueni macho yenu mtazame mbinguni: 2 Ni nani aliyeumba hivi vyote? 1 Ni yeye aletaye nje jeshi la nyota moja baada ya nyingine 2 na kuziita kila moja kwa jina lake. 1 Kwa sababu ya uweza wake mkuu na nguvu zake kuu, 2 hakuna hata mojawapo inayokosekana. 1
Matthew 5:45ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu waovu na watu wema, naye huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
John 1:4Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu.