Ayubu 27:22
Humvurumisha bila huruma, 2 huku akikimbia kasi kukwepa nguvu zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For God shall cast upon him, and not spare: he would fain flee out of his hand.
In Context
21Upepo mkali wa mashariki humchukua, naye hutoweka; 2 humzoa kutoka mahali pake. 1
23Upepo humpigia makofi kwa dharau, 2 na kumfukuza atoke mahali pake.
Cross References
Exodus 9:14au wakati huu nitaleta mapigo yangu yenye nguvu dhidi yako, maafisa wako na watu wako, ili upate kujua kuwa hakuna mwingine kama Mimi katika dunia yote.
Deuteronomy 29:20Bwana kamwe hatakuwa radhi kumsamehe, ghadhabu na wivu wa Mungu vitawaka dhidi ya mtu huyo. Laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki zitamwangukia na Bwana atafuta jina lake chini ya mbingu.
Joshua 10:11Walipokuwa wakikimbia mbele ya Israeli kwenye barabara iteremkayo kutoka Beth-Horoni hadi Azeka, Bwana akawavumishia mawe makubwa ya mvua kutoka mbinguni, na wengi wao wakauawa na hayo mawe kuliko wale waliouawa kwa upanga wa Waisraeli.
1 Samuel 25:29Hata ingawa yuko mtu anayekufuatia kuuondoa uhai wako, usiruhusu baya lolote kuonekana kwako siku zote za maisha yako, uhai wa bwana wangu utafungwa salama kwenye furushi la walio hai na Bwana Mungu wako. Lakini uhai wa adui zako atavurumishwa kama vile jiwe kutoka kwenye kombeo.
Job 20:24Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, 2 mshale wa shaba utamchoma. 1
Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1