The Bible Software
bible.softwareJobJob 27 › Job 27:21

Job 27:21

Upepo mkali wa mashariki humchukua, naye hutoweka; 2 humzoa kutoka mahali pake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The east wind carrieth him away, and he departeth: and as a storm hurleth him out of his place.

In Context

20Vitisho humjia kama mafuriko; 2 dhoruba humkumba ghafula usiku. 1

22Humvurumisha bila huruma, 2 huku akikimbia kasi kukwepa nguvu zake. 1

Read all of Job 27

Cross References

Exodus 9:23Mose alipoinyoosha fimbo yake kuelekea angani, Bwana akatuma ngurumo na mvua ya mawe, umeme wa radi ulimulika hadi nchi. Kwa hiyo Bwana akaifanya mvua ya mawe kunyesha juu ya nchi ya Misri,

Job 21:18Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, 2 kama makapi yachukuliwayo na dhoruba? 1

Psalms 58:9Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, 2 zikiwa mbichi au kavu, 1 waovu watakuwa 2 wamefagiliwa mbali. 1

Jeremiah 18:17Kama upepo utokao mashariki, 2 nitawatawanya mbele ya adui zao; 1 nitawapa kisogo wala sio uso, 2 katika siku ya maafa yao.”

Nahum 1:3Bwana si mwepesi wa hasira naye ni mwenye nguvu, 2 Bwana hataacha kuadhibu wenye hatia. 1 Njia yake ipo katika kisulisuli na tufani, 2 na mawingu ni vumbi la miguu yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 27:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 27:20Job 27Job 27:22 →