Ayubu 27:3
kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, 2 nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All the while my breath is in me, and the spirit of God is in my nostrils;
In Context
4midomo yangu haitanena uovu, 2 wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu. 1
Cross References
Job 32:8Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu, 2 pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 1
Isaiah 2:22Acheni kumtumainia mwanadamu, 2 ambaye hana kitu ila pumzi katika pua zake. 1 Yeye ana thamani gani?