Ayubu 6:28
“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. 2 Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now therefore be content, look upon me; for it is evident unto you if I lie.
In Context
27Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, 2 na kubadilishana rafiki yenu na mali. 1
Cross References
Job 11:3Je, maneno yako ya upuzi yawafanye watu wanyamaze kimya? 2 Je, mtu asikukemee unapofanya dhihaka? 1
Job 27:4midomo yangu haitanena uovu, 2 wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu. 1
Job 36:4Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo; 2 mmoja aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe. 1