Ayubu 28:11
Hutafuta vyanzo vya mito 2 na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He bindeth the floods from overflowing; and the thing that is hid bringeth he forth to light.
In Context
10Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; 2 macho yake huona hazina zake zote. 1
12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? 2 Ufahamu unakaa wapi? 1
Cross References
Isaiah 37:25Nimechimba visima katika nchi za kigeni 2 na kunywa maji yake. 1 Kwa nyayo za miguu yangu 2 nimekausha vijito vyote vya Misri.’ 1
Isaiah 45:2Nitakwenda mbele yako 2 na kusawazisha milima; 1 nitavunjavunja malango ya shaba 2 na kukatakata mapingo ya chuma. 1