bible.software › Isaiah › Isaiah 37 › Isaiah 37:25
Isaiah 37:25
Nimechimba visima katika nchi za kigeni 2 na kunywa maji yake. 1 Kwa nyayo za miguu yangu 2 nimekausha vijito vyote vya Misri.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I have digged, and drunk water; and with the sole of my feet have I dried up all the rivers of the besieged places.
In Context
24Kupitia kwa wajumbe wako 2 umelundika matukano juu ya Bwana. 1 Nawe umesema, 2 ‘Kwa magari yangu mengi ya vita, 1 nimepanda juu ya vilele vya milima, 2 vilele vya juu sana katika Lebanoni. 1 Nami nimeiangusha mierezi yake mirefu, 2 misunobari yake iliyo bora sana. 1 Nimefikia sehemu zake zilizoinuka juu sana, 2 misitu yake iliyo mizuri sana. 1
26“Je, hujasikia? 2 Zamani sana niliamuru hili. 1 Siku za kale nilipanga hili; 2 sasa nimelifanya litokee, 1 kwamba umegeuza miji yenye ngome 2 kuwa malundo ya mawe. 1
Read all of Isaiah 37
Cross References
1 Kings 20:10Kisha Ben-Hadadi akatuma ujumbe mwingine kwa Ahabu, kusema “Miungu iniletee maafa, tena makubwa zaidi, ikiwa vumbi la Samaria litatosheleza konzi moja ya kila mtu ya wale wafuatanao nami.”
Isaiah 10:13Kwa kuwa anasema: 1 “ ‘Kwa nguvu za mkono wangu nimefanya hili, 2 kwa hekima yangu, kwa sababu nina ufahamu. 1 Niliondoa mipaka ya mataifa, 2 niliteka nyara hazina zao, 1 kama yeye aliye shujaa 2 niliwatiisha wafalme wao. 1
Isaiah 19:5Maji ya mito yatakauka, 2 chini ya mto kutakauka kwa jua. 1
This Verse In Other Editions
Study Isaiah 37:25