The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 28 › Ayubu 28:12

Ayubu 28:12

“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? 2 Ufahamu unakaa wapi? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But where shall wisdom be found? and where is the place of understanding?

In Context

11Hutafuta vyanzo vya mito 2 na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru. 1

13Mwanadamu hatambui thamani yake; 2 haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai. 1

Read all of Ayubu 28

Cross References

1 Kings 3:9Hivyo mpe mtumishi wako moyo wa ufahamu ili kutawala watu wako na kupambanua kati ya mema na mabaya. Kwa maana, ni nani awezaye kutawala watu wako hawa walio wengi hivi?”

Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”

Proverbs 2:4na kama utaitafuta kama fedha 2 na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 1

Ecclesiastes 7:11Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema 2 na huwafaidia wale walionalo jua. 1

Ecclesiastes 7:24Vyovyote hekima ilivyo, 2 hekima iko mbali sana na imejificha, 2 ni nani awezaye kuigundua? 1

Colossians 2:3ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 28:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 28:11Ayubu 28Ayubu 28:13 →