The Bible Software
bible.softwareJobJob 28 › Job 28:13

Job 28:13

Mwanadamu hatambui thamani yake; 2 haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Man knoweth not the price thereof; neither is it found in the land of the living.

In Context

12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? 2 Ufahamu unakaa wapi? 1

14Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; 2 bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’ 1

Read all of Job 28

Cross References

Job 28:21Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, 2 imesitiriwa hata kwa ndege wa angani. 1

Psalms 52:5Hakika Mungu atakushusha chini 2 kwa maangamizi ya milele: 1 atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu 2 kutoka hema yako, 2 atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 1

Proverbs 3:14kwa maana hekima ana faida kuliko fedha 2 na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. 1

Proverbs 8:18Utajiri na heshima viko kwangu, 2 utajiri udumuo na mafanikio. 1

Proverbs 23:23Nunua kweli wala usiiuze, 2 pata hekima, adabu na ufahamu. 1

Isaiah 38:11Nilisema, “Sitamwona tena Bwana, 2 Bwana katika nchi ya walio hai, 1 wala sitamtazama tena mwanadamu, 2 wala kuwa na wale ambao sasa wanakaa katika ulimwengu huu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 28:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 28:12Job 28Job 28:14 →