Proverbs 2:4
na kama utaitafuta kama fedha 2 na kuitafuta sana kama hazina iliyofichwa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If thou seekest her as silver, and searchest for her as for hid treasures;
In Context
3na kama ukiita busara 2 na kuita kwa sauti ufahamu, 1
5ndipo utakapoelewa kumcha Bwana 2 na kupata maarifa ya Mungu. 1
Cross References
Job 3:21wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, 2 wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa, 1
Psalms 19:10Ni za thamani kuliko dhahabu, 2 kuliko dhahabu iliyo safi sana, 1 ni tamu kuliko asali, 2 kuliko asali kutoka kwenye sega. 1
Psalms 119:72Sheria inayotoka kinywani mwako ina thamani kubwa kwangu 2 kuliko maelfu ya vipande vya fedha na dhahabu. 2 Haki Ya Sheria Ya Bwana 1
Proverbs 3:14kwa maana hekima ana faida kuliko fedha 2 na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi. 1
Proverbs 8:18Utajiri na heshima viko kwangu, 2 utajiri udumuo na mafanikio. 1
Proverbs 23:23Nunua kweli wala usiiuze, 2 pata hekima, adabu na ufahamu. 1