Proverbs 20:15
Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi, 2 lakini midomo inenayo maarifa 2 ni kito cha thamani kilicho adimu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There is gold, and a multitude of rubies: but the lips of knowledge are a precious jewel.
In Context
14“Haifai, haifai!” asema mnunuzi, 2 kisha huondoka akijisifia ununuzi wake. 1
Cross References
Job 28:18Marijani na yaspi hazistahili kutajwa; 2 thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu. 1
Proverbs 3:15Hekima ana thamani kuliko marijani; 2 hakuna chochote unachokitamani 2 kinachoweza kulinganishwa naye. 1
Proverbs 8:10Chagua mafundisho yangu badala ya fedha, 2 maarifa badala ya dhahabu safi, 1
Proverbs 10:20Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, 2 bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. 1
Proverbs 15:23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: 2 je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 1
Proverbs 16:21Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu, 2 na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho. 1