Ayubu 28:25
Alipofanyiza nguvu za upepo 2 na kuyapima maji, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To make the weight for the winds; and he weigheth the waters by measure.
In Context
24kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia 2 na huona kila kitu chini ya mbingu. 1
26alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua 2 na njia kwa ajili ya umeme wa radi, 1
Cross References
Job 37:15Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, 2 na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga? 1
Job 38:5Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake? 2 Hakika wewe unajua! 2 Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake? 1
Isaiah 40:12Ni nani aliyepima maji ya bahari 2 kwenye konzi ya mkono wake, 2 au kuzipima mbingu kwa shibiri + 40:12 Shibiri ni sawa na sentimita 20 au inchi 8. yake? 1 Ni nani aliyeyashika mavumbi ya dunia katika kikapu, 2 au kupima milima kwenye kipimio 2 na vilima kwenye mizani? 1