The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 38 › Ayubu 38:5

Ayubu 38:5

Ni nani aliyeweka alama vipimo vyake? 2 Hakika wewe unajua! 2 Ni nani aliyenyoosha kamba ya kupimia juu yake? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who hath laid the measures thereof, if thou knowest? or who hath stretched the line upon it?

In Context

4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? 2 Niambie, kama unafahamu. 1

6Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, 2 au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, 1

Read all of Ayubu 38

Cross References

Job 11:9Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, 2 nacho ni kipana kuliko bahari. 1

Psalms 19:4Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu. 1 Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua, 2

Proverbs 8:27Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake, 2 wakati alichora mstari wa upeo wa macho 3 juu ya uso wa kilindi, 1

Isaiah 34:11Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, 2 bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. 1 Mungu atanyoosha juu ya Edomu 2 kamba ya kupimia ya machafuko matupu, 2 na timazi ya ukiwa. 1

Isaiah 40:22Anakaa kwenye kiti cha enzi juu ya duara ya dunia, 2 nao watu wakaao ndani yake ni kama panzi. 1 Huzitandaza mbingu kama chandarua, 2 na kuzitandaza kama hema la kuishi. 1

2 Corinthians 10:16ili tuweze kuhubiri Injili sehemu zilizo mbali na maeneo yenu. Kwa maana hatutaki kujisifu kwa ajili ya kazi ambayo imekwisha kufanyika tayari katika eneo la mtu mwingine.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 38:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 38:4Ayubu 38Ayubu 38:6 →