The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 37 › Ayubu 37:15

Ayubu 37:15

Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu, 2 na kufanya umeme wake wa radi utoe mwanga? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Dost thou know when God disposed them, and caused the light of his cloud to shine?

In Context

14“Ayubu, sikiliza hili; 2 nyamaza na uyafikiri maajabu ya Mungu. 1

16Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, 2 hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa? 1

Read all of Ayubu 37

Cross References

Job 28:25Alipofanyiza nguvu za upepo 2 na kuyapima maji, 1

Job 36:30Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, 2 naye huvifunika vilindi vya bahari. 1

Job 38:4“Ulikuwa wapi nilipoweka misingi ya dunia? 2 Niambie, kama unafahamu. 1

Isaiah 40:26Inueni macho yenu mtazame mbinguni: 2 Ni nani aliyeumba hivi vyote? 1 Ni yeye aletaye nje jeshi la nyota moja baada ya nyingine 2 na kuziita kila moja kwa jina lake. 1 Kwa sababu ya uweza wake mkuu na nguvu zake kuu, 2 hakuna hata mojawapo inayokosekana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 37:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 37:14Ayubu 37Ayubu 37:16 →