Ayubu 28:7
Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, 2 wala hakuna jicho la mwewe lililoiona. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There is a path which no fowl knoweth, and which the vulture’s eye hath not seen:
In Context
6yakuti samawi hutoka katika miamba yake, 2 nalo vumbi lake lina vipande vya dhahabu. 1
8Wanyama wa porini wanaotamba hawajawahi kupakanyaga, 2 wala simba azungukaye huko. 1
Cross References
Job 11:6naye akufunulie siri za hekima, 2 kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. 2 Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako. 1
Job 38:19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? 2 Nako maskani mwa giza ni wapi? 1
Romans 11:33Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri 2 wa hekima na maarifa ya Mungu! 1 Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki, 2 na ambavyo njia zake zisivyotafutikana! 1