Proverbs 13:9
Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana, 2 bali taa ya mwovu itazimwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The light of the righteous rejoiceth: but the lamp of the wicked shall be put out.
In Context
8Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake, 2 bali mtu maskini hasikii kitisho. 1
10Kiburi huzalisha magomvi tu, 2 bali hekima hupatikana kwa wale wanaozingatia ushauri. 1
Cross References
1 Kings 11:36Nitampa mwanawe kabila moja ili kwamba Daudi mtumishi wangu awe na taa mbele zangu daima katika Yerusalemu, mji ambao nimeuchagua kuweka Jina langu.
Job 21:17“Lakini ni mara ngapi taa ya waovu huzimwa? 2 Ni mara ngapi maafa huwajia, 1 yale yawapatayo ambayo Mungu 2 huwapangia katika hasira yake? 1
Psalms 97:11Nuru huangaza wenye haki 2 na furaha kwa watu wanyofu wa moyo. 1
Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1
Proverbs 24:20kwa maana mtu mbaya hana tumaini la siku zijazo, 2 nayo taa ya waovu itazimwa. 1
Matthew 22:13“Ndipo mfalme akawaambia watumishi wake, ‘Mfungeni mikono na miguu mkamtupe nje, kwenye giza. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.’