Ayubu 3:10
kwa sababu huo usiku haukunifungia 2 mlango wa tumbo la mama yangu, 1 ili kuyaficha macho yangu 2 kutokana na taabu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Because it shut not up the doors of my mother’s womb, nor hid sorrow from mine eyes.
In Context
11“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa? 2 Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni? 1
Cross References
Genesis 29:31Bwana alipoona kwamba Lea hapendwi, akampa watoto, lakini Raheli alikuwa tasa.
Job 6:2“Laiti uchungu wangu ungeweza kupimwa, 2 nayo taabu yangu yote ingewekwa kwenye mizani! 1
Job 10:18“Kwa nini basi ulinitoa tumboni? 2 Ninatamani ningekufa kabla jicho lolote halijaniona. 1
Ecclesiastes 6:3Mtu anaweza kuwa na watoto mia moja naye akaishi miaka mingi, lakini haidhuru kuwa ataishi muda mrefu kiasi gani, kama hawezi kufurahia mafanikio yake na kwamba hapati mazishi ya heshima, ninasema afadhali mtoto aliyezaliwa akiwa amekufa kuliko yeye.
Jeremiah 20:17Kwa sababu hakuniua nikiwa tumboni, 2 hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, 1 nalo tumbo lake la uzazi 2 lingebaki kuwa kubwa daima. 1