The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 3 › Ayubu 3:11

Ayubu 3:11

“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa? 2 Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Why died I not from the womb? why did I not give up the ghost when I came out of the belly?

In Context

10kwa sababu huo usiku haukunifungia 2 mlango wa tumbo la mama yangu, 1 ili kuyaficha macho yangu 2 kutokana na taabu. 1

12Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea 2 na matiti ili nipate kunyonyeshwa? 1

Read all of Ayubu 3

Cross References

Psalms 22:9Hata hivyo ulinitoa tumboni, 2 ukanifanya nikutegemee, 1 hata nilipokuwa ninanyonya 2 matiti ya mama yangu. 1

Psalms 71:6Tangu kuzaliwa nimekutegemea wewe, 2 ulinitoa tumboni mwa mama yangu. 2 Nitakusifu wewe daima. 1

Ecclesiastes 6:3Mtu anaweza kuwa na watoto mia moja naye akaishi miaka mingi, lakini haidhuru kuwa ataishi muda mrefu kiasi gani, kama hawezi kufurahia mafanikio yake na kwamba hapati mazishi ya heshima, ninasema afadhali mtoto aliyezaliwa akiwa amekufa kuliko yeye.

Isaiah 46:3“Nisikilizeni mimi, ee nyumba ya Yakobo, 2 ninyi nyote mliobaki wa nyumba ya Israeli, 1 ninyi ambao nimewategemeza tangu mlipotungwa mimba, 2 nami nimewabeba tangu kuzaliwa kwenu. 1

Jeremiah 20:17Kwa sababu hakuniua nikiwa tumboni, 2 hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu, 1 nalo tumbo lake la uzazi 2 lingebaki kuwa kubwa daima. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 3:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 3:10Ayubu 3Ayubu 3:12 →