Ayubu 3:12
Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea 2 na matiti ili nipate kunyonyeshwa? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Why did the knees prevent me? or why the breasts that I should suck?
In Context
11“Kwa nini sikuangamia wakati wa kuzaliwa? 2 Kwa nini sikufa nilipokuwa ninatoka tumboni? 1
13Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. 2 Ningekuwa nimelala na kupumzika 1
Cross References
Genesis 30:3Ndipo Raheli akamwambia, “Hapa yupo Bilha, mtumishi wangu wa kike. Kutana naye kimwili ili aweze kunizalia watoto na kwa kupitia yeye mimi pia niweze kuwa na uzao.”
Isaiah 66:12Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Nitamwongezea amani kama mto, 2 nao utajiri wa mataifa kama kijito kifurikacho; 1 utanyonya na kuchukuliwa mikononi mwake 2 na kubembelezwa magotini pake. 1