Ayubu 3:23
Kwa nini uhai hupewa mtu 2 ambaye njia yake imefichika, 2 ambaye Mungu amemzungushia boma? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Why is light given to a man whose way is hid, and whom God hath hedged in?
In Context
22ambao hujawa na furaha, 2 na hushangilia wafikapo kaburini? 1
Cross References
Job 13:27Umeifunga miguu yangu kwenye pingu. 2 Unazichunga kwa makini njia zangu zote 2 kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu. 1
Job 19:8Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; 2 ameyafunika mapito yangu na giza. 1
Psalms 31:8Hukunikabidhi kwa adui yangu 2 bali umeiweka miguu yangu mahali penye nafasi. 1
Psalms 88:9nuru ya macho yangu 2 imefifia kwa ajili ya huzuni. 1 Ee Bwana, ninakuita kila siku, 2 ninakunyooshea wewe mikono yangu. 1
Lamentations 3:7Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka, 2 amenifunga kwa minyororo mizito. 1
Hosea 2:6Kwa hiyo mimi Mungu nitaizuia njia yake 2 kwa vichaka vya miiba, 1 nitamjengea ukuta ili kwamba 2 asiweze kutoka. 1